<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<style>
ol {
background: #ff9999;
padding: 20px;
}
ul {
background: #3399ff;
padding: 20px;
}
ol li {
background: #ffe5e5;
padding: 5px;
margin-left: 35px;
}
ul li {
background: #cce5ff;
margin: 5px;
}
</style>
</head>
<body>
<h1>Styling Lists With Colors:</h1>
<ol>
<li>Coffee</li>
<li>Tea</li>
<li>Coca Cola</li>
</ol>
<ul>
<li>karibuni</li>
<li>Madevelop</li>
<li>Nyote</li>
</ul>
</body>
</html>
HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.
Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?
Ahsante sanadownload vitabu mfano vitabu au vitini vya HTML vp kibao search google HTML basics PDF utapata ndio usomeee
ulifanikiwa kupata vitabu?Ahsante sana
Tuandikie program ya java inayo calculate area na perimeter of circle.Mi najua java tu tena kwa mbaali sana
//Java program to Calculate Perimeter of a Circle.Tuandikie program ya java inayo calculate area na perimeter of circle.
Sijui nimefikaje huku maaana naona ni chumba la html na Vi nn cjui[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.
Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?
HTML ni lugha inayowezesha mtumiaji kufuata links yaani inawezesha ukibofya link ambayo ipo inafungua kilichomo kwenye hio link.CSS inaweza kurekekebisha muoneka na mpangilio wa taarifa katia ukurasa wako.HTML-HYPERTEXT MARK UP LANGUAGE NA CSS CASCADING STYLE SHEETHAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?