Wadau wa Jukwaa hili nimeona si mbaya nikafungua huu uzi ili kwa wale wataalamu wa Mambo ya Mawasiliano Pepe (Telecommunications ) tuweze kushare Ujuzi na Maexperice tuliyo nayo ili Madogo waje Kuchota Ujuzi. Naandaa somo kuhusu Mambo yafutayo
1. What is Communications
2. Types of Communications (Analogue V/S Digital)
3. Modulations (Hapa tutagonga both analogue and Digital Modulatio )
4. Transmission Media (Hapa tutakula kidogo Mambo ya Propagation, Link Budget, Link Design)
Somo likieleweka tutakwenda kujifunza Information Theory (Ambayo ni Muhimu sana katika Kesign any Communication System
Niite Polo