Haiwezekani aisee.Mkuu,
Ina mana kwa kifupi haiwezekani?
Kuweka mlio mzito kwenye gari ndogo?
Hahaha koo mkuu nyingine znabana pua sio. Actually napenda muungurumo wa vx v8 likiwa silencer ule wa kupanda na kushukaaAh wapi.
Ule mlio huwezi install kwenye vitu vya ajabu ajabu maana unatoka kifuani mwa gari sio puani kama zile takataka zinazofungwa kwenye alteza.
Unajua likiwa silencer halitofautiani na mlio wa scania ikiwa silencer.Hahaha koo mkuu nyingine znabana pua sio. Actually napenda muungurumo wa vx v8 likiwa silencer ule wa kupanda na kushukaa
Mashine ya V8 inanivuruga sana my mind,, likinguruma ama ukilikuta linapanda mlima mdogo kwenye rough road ndiyo utalipenda kabisa...Unajua likiwa silencer halitofautiani na mlio wa scania ikiwa silencer.
Hamisha v8 kwenda kwenya CarinaInawezekana kabisa kila gari mlio wa engine ukitoa muffler zina milio karibu inafanana kutokana na ukubwa wa engine kwenye maffler ndio kuna tune ya mlio wa gari kutokana na pendekezo la mtengenezaji sasa wanaobadili milio hubadilisha muffler au exahaust pipe yote na mlio huchange
Aisee hakuna mlio mtamu kama wa landcruiser 80 then inafuatiwa ile ya land cruiser 100. Huwa unanifanya nitamani kumiliki ile gari kwa namna yeyote. Nakumbuka kipindi niko mdogo mzee alikuwa anapush lc 80 mpya ya ofisini kwao SUA. Ile mashine ilikuwa manual with diesel aisee acha tu. Tulikuwa tunapiga nayo tours as well kama kwenda kijiji n.k.Binafsi mimi matoleo yote ya Vx kuanzia 80,100,200 series nayapenda tu kwa sababu ya ile sauti yake kama ya ndama dume
Nissan y60 labda. Baada ya hapo hamna nissan yenye mlio matata.Muungurumo wa kibabe inao NISSAN PATROL bhana
muungurumo upo katika Range Rover utadhani kundi la nyuki linapita walikaa sana chini hiyo ni moja ya mimi kulipenda lile dude..
Embu rudi tena ukasikilize mlio wa cruiser lc200 series diesel na hiyo lc80 series diesel. Ukisikiliza jibu baki nalo moyoni maana najua utaona noma kukubali mziki wa lc200.Aisee hakuna mlio mtamu kama wa landcruiser 80 then inafuatiwa ile ya land cruiser 100. Huwa unanifanya nitamani kumiliki ile gari kwa namna yeyote. Nakumbuka kipindi niko mdogo mzee alikuwa anapush lc 80 mpya ya ofisini kwao SUA. Ile mashine ilikuwa manual with diesel aisee acha tu. Tulikuwa tunapiga nayo tours as well kama kwenda kijiji n.k.
Alikuwa anaipiga chafu mbaya yani ina mzuka balaa kipindi akipangua gears wakati ana reverse na kuipa acceleration. That was when i started knowing and liking land cruisers. Aisee cruiser 80 ina mlio mtamu sana. It sound like a beast a real rugged suv!
Land cruiser 200 imepooza sana yani ipo kishoga sana esp. body design ingawa engine lake kubwa.
Kwenye tune department ndio kabisa wamefeli mno. It doesn't even sound like a v8.
They have just ruined the reputation of it i hate 200s! At least ya 2016 iliokuwa facelifted ndio kidogo inashawishi ila bado mlio "F"