Kwa hiyo we wapenda maungo!! mwe kazi tunayo........so tupite barabarani mwe hata sijui niulizeje.Bora mvae kawaida ili tangu mwanzo nijue ulivyo kuliko kunimisslead nikadhani uko kifaa cha nguvu then bidae nikagundua sio. Endapo nitakufuata nikijua ulivyo tangu mwanzo inamaana ntakuwa nimekupenda ulivyo na hayo ma fat belly na floppy bobies kuliko kuja kugundua badae kwamba nivyodhania uko siyo hivyo coz itanilazimu nisepe fasta
Napenda uwe real!Ili nisije nikadhan saa sita kumbe saa tano usiku,kama nikiona saa tano usiku nitajiuliza na kama nikiamua kuja nitakuja nikijua kuwa ni saa tano usiku,jikubalini kama mlivyo!
Mi nafikiri hivi ni vitu vidogo sana kwenye mapenzi.........huwezimfuata mtu ukampenda kwa kuwa ni mnene na floppies kama MJ1 hapa unless unataka kuhit- and- run. Najua utasema kuwa ni full package yes but mh sidhani kama ni kigezo. Tuacheni tuvae na kujiweka vile ambavyo nafsi zetu zinapenda jamani. eh leo kazi (Hapa MJ1 anatetea maslahi yake binafsi Lizzy usione nashkia bango ama sivyo na hili belly ntakosa soko mwe!!)
Ah niwe really!! Belly imeangukia hadi nkitaka kufikia kisima nahangaika kulinyanyua, hafu niwe real barabarani??.........ah hapana baba pita tu ukawatafute walio real ambao wengi wao ni wale wenye maumbo mazuri mwaya.Mwanajamii unatakiwa uwe real bwana,kuwa real kuna raha yake,kwanini ujikopi?Jiamini!!
MJ1 ni bora uwe kama ulivyo maana ukionyesha uko kigoli sana then jamaa akute tofauti utampaa maswali mengi na pengine ahadi zote akunyang'anye na asepe kimoja.