TUCTA wako wapi? CHODAU imekufa?

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Sekta binafsi inasubiri Tangazo la scale za mishahara mipya, where are they?TUCTA wako wapi?? CHODAU ilikufa?
 
Sekta binafsi inasubiri Tangazo la scale za mishahara mipya, where are they?TUCTA wako wapi?? CHODAU ilikufa?


yaaaani hao ni walaji tu,Njoo bugando Mwanza Uone yaaaani huwezi amini kama Pale wapo wasomi Jinsi mambo yanayoEnda yaaaani Kama wamelogwa.
 
Sekta binafsi inasubiri Tangazo la scale za mishahara mipya, where are they?TUCTA wako wapi?? CHODAU ilikufa?
Ukiona watu wanagombea nyadhifa huko ujue wanatafuta ulaji. Huna habari kuwa viongozi wengi wa vyama vya wafanyakazi wapo katika Bodi za Wakurugenzi za mifuko ya jamii, Bodi za Tume ya Usuluhishi na Uamuzi na juzi nimemuona mmoja amechaguliwa kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya SSRA.

Ndio maana nawaambia, wafanyakazi adui yenu mkubwa ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Maamuzi yoooote yanayopitishwa na serikali na wao huwa wameshiriki kuyapitisha. Hawasemi lolote kwa sababu ya posho za vikao na bakshishi.

Sasa hivi mnadanganywa kuwa fao la kujitoa limerudishwa...uongo mtupu. Acha kazi halafu nenda pale NSSF uone kama utapewa kitu. Au muulize mtu yeyote unayemfahamu aliyeacha kazi hivi karibuni kama amepata fao lake.

Nyie subirini vyama vya wafanyakazi viwakomboe.
 
Last edited by a moderator:
Chodau - CHODAWU...........
 
Halafu Preta hebu vaa ile nguo yako ya pinki bana.
 
Last edited by a moderator:
Vyama vya wafanyakazi wanafanya kazi ya kukamua tu wafanyakazi..... Hawana faida
 
So revolution needed.......Sasa wafanyakazi wafanye nini........Kwa hiyo wabunge wamepigwa changa la macho pia, kama NSSF walidanganya na FAO la kujitoa halipo, je wafanyakazi wafanyeje.Wabunge wanajua hilo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…