machinjioni huku, kitambo sanaUnapajua Tabata Sanene pale
Uko uko 😂Karibia na Airport kule au wapi?
Sisi tuliowahi/tunaofanya kazi kwenye makampuni ya simu hasa network department na power, HUKO KOTE ULIKOKUTAJA TUNAKUJUA..!! Tena tunakujua kwa shotikati ili kuwahi mnara unapozima.Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,
Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali
Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…..
1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa?
2. Unapajua Mwenge mitaa ya soshohoo….Hiyo soshohoo ni nini?
3. Unapajua Goba njia nne? Ukianza kurudi njia ya mbezi upande wa kushoto kwa ndani kuna bar gani kubwa? Madonange unaijua?
4.Unapajua kimara matosa weye?
Tajiri Matosa mwenyewe unamjua?
5. Unapajua sea cliff ni wapi?
6. Unapajua Msasani aka masaki B? Kota za Tanesco unapajua?
7. Unaujua mtaa wa Azikiwe? Uko wapi?
8.unaujua mtaa wa Salanga? Uko wapi?
9. Unaijua mitaa ya shekilango iliyoungana na Sinza makaburini mpaka madukani?
10.unapajua mkwajuni? Ipo wapi?
11. Mapinduzi Makumbusho unapajua?
12. Mitaa ya Lulenge,Tanesco,Kanisani unaijua? iko wapi?
13.Charame,kisewe na kibondemaji unapajua? Ni wapi?
14. Ukipita Bonyokwa kuelekea msikitini uelekeo wa Mbezi unafika K…mwisho unapajua? K ni nini?
15.Mivumoni, kwa ndevu na kibaoni ni mitaa ya wapi?
Twendeleee…………
Mbagala..!!Daah atayepaelezea Manzese na Mbagala kwetu anitagi tafadhali....
Si ni kamchezo tuu haka, We cheza mkuu😂😂au ongezea maeneo yako hapo..Sisi tuliowahi/tunaofanya kazi kwenye makampuni ya simu hasa network department na power, HUKO KOTE ULIKOKUTAJA TUNAKUJUA..!! Tena tunakujua kwa shotikati ili kuwahi mnara unapozima.
Kipunguni b😂Unakuja kipunguni wewe
Mbagala..!!
1. Unapajua Bmax wewe..?
2. Unapojua Darlive ndogo wewe?
3. Unapajua Kilamba?
4. Unapajua Biasi wewe?
5. Unapajua kurasini mpya wewe?
6. Unapajua kwa Mangaya wewe? Maturubai je?
7. Unapajua Kimbangulile wewe?
8. Unajua Scorpion wewe? Kakonko je?
9. Unapajua kwa Mapunda?
10. Unapajua Bamia?
11. Kichemchem ushawahi fika?
12. Unapajua kilungule, ukiwa unaelekea kwa Mpalange?
13. Unapajua Ikulu?
Unapajua magole[emoji41]Kipunguni b[emoji23]
Barabarani😀View attachment 2614344
Wapi hapa..
Koteee napajuaMbagala..!!
1. Unapajua Bmax wewe..?
2. Unapojua Darlive ndogo wewe?
3. Unapajua Kilamba?
4. Unapajua Biasi wewe?
5. Unapajua kurasini mpya wewe?
6. Unapajua kwa Mangaya wewe? Maturubai je?
7. Unapajua Kimbangulile wewe?
8. Unajua Scorpion wewe? Kakonko je?
9. Unapajua kwa Mapunda?
10. Unapajua Bamia?
11. Kichemchem ushawahi fika?
12. Unapajua kilungule, ukiwa unaelekea kwa Mpalange?
13. Unapajua Ikulu? Ukiwa unaelekea vigozi..!!
K Koo Msimbazi Street/Road moja....View attachment 2614344
Wapi hapa..
Sipajui😂Unapajua magole[emoji41]