Weka picha!
Habari zetu hapa jamvini?.Leo naomba tuambizane kuhusu hili.. kilasiku tunasikia stori za fumanizi mbalimbali juu ya mke/mme.Sasa basi hivi ni nani hanae stahiki kubeba lawama kati ya mke/mme?
Na najua yapo mengi yanayo changia kusalitiana je? kwanini mke hasikatae pindi atongo zwapo ukiangalia kwa undani utabaini mke ndo mwenye tatizo
Na je mke au mme mukifumania niatua gani zaku chukua bila ya kuleta madhara. mfn.kujua ni kwanini mwenzi wako kuhamua kuku chit hili kuepuka matukio ya kusalitiana.
NB:Nikutaka kuwekana sawa tu jamani.Karibuni....
Weka picha!
1. uoga wa kutaka kuongea ukweli
2. kusikiliza hisia na fikra za kucheatiwa bila ya uchunguzi
3. tamaa tu za kimwili
4. kumkomoa mwenzi wako
5. ulimbukeni na ukijogoo kimba..
ili iweje labda..
Lawama zangu za mwando nazipeleka kwa VITENDEA KAZI (K na Libolo!) ayayayaaa! Hivi vitendea kazi vikiamua hakuna wa kupinga!
...
Umasikini na tamaa lawama zangu ziwafikie!
...
Akili mbovu! Hauwezi kutoka ktk lawama hizi!
...
...
Chakufanya baada ya kufumani ni:
1 Kumgegeda aliyekugegedea!
If ke, shusha kipondo kwa anaekuibia but usiue!
...
2 hakikisha unamgegeda vya kutosha mwenzio!
If ke, toa mbunye kama sio ya kwako kwa mwenzio! Bila kusahau na maujuzi! Ugogo wenu ni sababu ya kusalitiwa!
...
3 if 1 and 2 hauwezi toa talaka/seperation! Tafuta malaika mwenzio!
...
Umenisouma?

Km una mkeo kwanini ukatongoze ili hali una mke ndani?? km ni mke wa mtu kwanini ukubali kuzini nje ya ndoa yako??
Wote hao ni wakulaumiwa kwani hakuna alomshika mwenzie mkono na wte wana akili zao timamu
Ha ha ha ha ha hiv wakati unaandika hii ulikaaje?
Khaa!
Janani Habari ya hapa!!!
Kwanini umeniuliza hivyo?
kuna sababu nyuma ya pazia bwana ndio maana yana tokea ya kutokea
Nimechoka tu na maneno yako hivyo nilitaka kujua mkao ulikalia
Khaa!
Janani Habari ya hapa!!!
Kwanini umeniuliza hivyo?
Sema bac una mumunya nini