habari zenu wana jamii Forum!
nimesikia kua TTCL wameita watu kwa usaili kesho tarehe 06/10/2015 pale Institute of Adult Education Building kwa kada mbali mbali, aliye niambia yeye ametumiwa hizi taarifa kwa njia ya email, sasa naombeni kuuliza je kuna yeyote mwingine aliyeitwa?