Mwanzo walitudanganyaSijui anatukadiliaje[emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu.... management inafeliMwanzo walitudanganya
Pili,wakamleta kama special appearance kwenye uchaguzi(kuhadaa)
Tatu, kauli hii Tena Leo kuelekea dirisha la usajili Tena KUBWA
NB ,Simba Tunatakiwa kuwa makini mno na Hawa watu
Mtu mwenyewe jina la utani TRY AGAIN nasimba imeshajaribu Sana Sana Sana imetosha
Mbumbumbu anakuaje na akili?Mwanzo walitudanganya
Pili,wakamleta kama special appearance kwenye uchaguzi(kuhadaa)
Tatu, kauli hii Tena Leo kuelekea dirisha la usajili Tena KUBWA
NB ,Simba Tunatakiwa kuwa makini mno na Hawa watu
Mtu mwenyewe jina la utani TRY AGAIN nasimba imeshajaribu Sana Sana Sana imetosha
jifunze kwanza kuandika kubwa jinga weweSijui anatukadiliaje[emoji23][emoji23]
wasiojua na wasojitambua huyo try again ametaka kupiga pesa kwa kupitia manzoki na si ajabu kashapiga baadhi kumleta kwenye uchaguzi jamaa anawakwamisha sana wana simbaTaarifa kama hii, utashangaa kuna mashabiki wa simba wataifurahia.