Truth Kinda Medicine!

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,886
Mambo vipi wadau mko poa, actually nimekua kimya humu nafikiri yapata miaka sasa but all been good thanks to God!.

Nimeguswa kuandika hii post kwa sababu maisha bado yanaendelea na yapo mengi tunajifunza hasa tunapokosea.

Kimsingi ni mambo ya mahusiano zaidi, maana kumekuwa na new way of relationship au mahusiano ambayo tayari ni dosari hasa kwa wenzetu wanaotafuta wenzi hasa wa maisha.

Nianzie tu kwa hawa vijana wadogo zangu below 25 sababu hapa ndipo wengi wanapoteza dila na kuja katika mwisho mbaya wanapokua katika mahusiano na kuishia kutumbukia inna mambo kama HIV, unwanted pregancy.

Kinachoniumiza ni dada zangu sipendi kuwa class kama space goat but ni vizuri nikisema na nyie sababu kupitia kwenu impact ni kubwa zaidi na najua mnafahamu, pia siwezi watenga washua I mean watoto wakiume sababu utamu wa haya mambo ya kutafuta wenza ni kupata mtu sahihi zaidi sio anaekuvitia as we always do.

Nikianza kwa kina dada nivizuri sana mkiwa makini na kutambua tu kwamba kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na kijana. A man he is responsible type a guy na yuko tayari kuface challenge as he's read to go down the road at the end hawez poteza muda wako but kijana always mwisho huwa mbaya sababu ni waoga wa majukumu. Atleast jiulize can he handle responsibility? Can he handle taking care a family? Lakini imekua ngumu sana hasa kwetu kuelewa but sio mbaya bado tunajifunza.

Kufananisha mahusiano ni moja kati ya kosa kubwa ambalo linafanya wengi wamekwama na kuishia katika mwisho unaoumiza sana. You found umedanganywa na boy, A man anakuja unaanza ooh he has got no swagg or amekaa kishamba at the end unaishia kutumika na boys worse case unakosa wa kukuthamini sababu huna unachosimamia life insnt about swagg.

Fashion, sio a must kuwa katika mahusiano sababu unataka uonekane hivyo au sababu fashion ili ikufanye uwe bora ni lazima uwe na mtu kama Chris Brown ambae tayri anamaisha na mahusiano yanampiga chenga.

Usipende kufanya vitu kufarahisha kundi flani la watu au washkaj just know right person hana elements za utoto au muoga wa majukumu nikimaanisha inna wrong run anaweza kuwa mtu timamu as mama au baba.




Thanks Gentleman!
 
Sina uhakika sana kama watakuelewa thanks for a piece of advice
 
Sawa bro. Ngoja waje akina dada maana ndo masingle maza wa baadae
 
Oouh.... Wahenga walituasa usimshauri mwanamke aliyependa kwenye masuala ya mapenzi.

-Kwanza atakuona boya
-Unamjazia Nzi.
-Anakusema kwa hubby wake unajipendekeza pendekeza kwake. Utaskia hilo nalo linajifanya libwana ushauri.

nitaendelea nikimalizia hii core.
 
Daby upo haha man long sio mchezo dada zetu bana unajua.... Am like mmmmhn
 
Nice brother nimekupenda bure [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…