Trump cabinet members attend weekly bible study

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Inajulikana wazi Mike pence ameokoka na anasema yeye ni mkristo kwanza mambo mengine baadae .Trump cabinet wote ni wakristo na billionaire na hawapokei mishahara.Haijawahi kutokea watu kwenda kwenye bible study in the White House .Hii imesababisha Democratic Party ambao wanamkataa Mungu kukasirika mnoo.Mnasemaje SWALA hili ?kiongozi anapoamua kuchagua Dini moja tu .Source the hill, Washington post
 
Democrats wanamkataa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam inajulikana chapa ya Shetani kaibeba Democrats. Majitu bila aibu kuhubiri na ku-enforce homosexuality and transgender kwa binadamu wote unaona ni majitu ya kawaida hayo? They are totally satanic.
 
Kiongozi anapoamua kuchagua dini moja? Kwani kailazimisha iwe dini ya taifa? Nenda Iran ukaone mfano bora wa mchanganyiko wa dini serikalini. Kule Shia na Sunni wamechangamana vizuri mno na wakristo ndio usiseme wako njema sana ndani ya serikali. Mayahudi nao hawako nyuma kwa ushiriki wao serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…