Haya mapinduzi ya ndugu yetu Barack Obama ni ya kuungwa mkono na wa afrika wote na nchi zote hasimu na marekani... Yaani Obama anatoka madarakani na kuiacha marekani kama taifa la umbeya na unafiki wa kiwango cha juu sana.
Kama Great nation in the world miezi miwili mfululizo unajiliza liza kuhusu Russia + vladimir putin + Trump na Military army of Russia nini mataifa madogo yaseme na kwann Kim Jong asiwatishe.
Kuna mzee mmoja aliwahi niambia chama cha Democrats ni chama cha wanawake naanza kuamini.