Ushabiki pembeni...kuzivamia Iraq na Libya yalikuwa ni makosa makubwa sana ya kimaamuzi kuwahi kufanyika in the recent global community. Bahati mbaya ni kwamba kila kosa lina gharama yake. Kibaya zaidi tu ni kwamba maamuzi haya ya kijnga ya nchi chache kwasababu tu ya kiburi, jeuri, ubabe na kuangalia shortsitedly kwenye maslahi yao tu ya kiuchumi na ya washirika wao, yanaigharimu dunia nzima...na tishio hili kwa dunia litaendelea kwa muda mrefu sana!!
Mkuu hakuna kosa lolote mbele ya wakubwa. Na kila kitu kinaenda kwa ratiba kama ilivyopangwa.
Wewe unathani ni serikali ya ccm kwa matamko na mihemko?
Watu wanajenga master plan in details.
Trump pamoja na ukichaa wake anachosema ni kweli, Alqaeda waliona cha moto Iraq hawajahi kulipua hata kibiriti na Libya kulikuwa hakuna hao watu lakini tumeona baada ni mamia ya Alqaida na ISIS huo ndio ukweli. Halafu yule Blair jana the word is better place today. Jamaa pumbavu utasema haoni kinachotokea juzi tu watu 250 killed mambo ya ushia sijui sunni yamekuja baada ya Saddam japo walikuwepo lakini kimyaa.Trump msifia Sadam Hussein ' alikuwa kiongozi HASWA Aliua terrorist .Hii SI Mara ya kwanza ya Trump kulaumu serikali ya marekani Kuwaua Sadam Hussein na ghadafi .Trump pia amlaumu Obama kwa fujo za Middle East .Trump haogopi mtu sasa hivi .Leo amesema kutwa Mnasema corruption Africa na wakati clintons ndio wenyewe.Establishment watakoma Trump akishinda