Will DRC ever know peace? It is alleged that Joseph is a Tutsi and it was all planned for him to succeed to the throne by Paul Kagame and James Kabarebe Joseph's uncle. Read this article from this link. It is very interesting Concerning the true Identity of Mr. Hippolyte Kanambe alias Joseph Kabila. For peace to prevail in that nation the Tanzanian forces must not leave until we are certain that all rebels have been dealt with. Enogh is enough for the persecutions of innocent lives in Congo.
hii kitu nilishawahi kuisoma mwaka 2010, iliwekwa jambo forums kama sikosei kwenye pdf, ilikuwa na picha nyingi kuliko hizi ambazo mmeweka hapa. i am not going to comment anything concerning this matter, bora nikae tu kimya.
Will DRC ever know peace? It is alleged that Joseph is a Tutsi and it was all planned for him to succeed to the throne by Paul Kagame and James Kabarebe Joseph's uncle. Read this article from this link. It is very interesting Concerning the true Identity of Mr. Hippolyte Kanambe alias Joseph Kabila. For peace to prevail in that nation the Tanzanian forces must not leave until we are certain that all rebels have been dealt with. Enogh is enough for the persecutions of innocent lives in Congo.
Raisi Kabila kakulia na kuishi Tanzania kasoma Tanzania.Tunamjua kuliko wanavyomjua walioandika huo uzi.
Naona M23 baada ya kichapo na kukubali watanzania wanajua kupiga wakiamua kupiga sasa wamepata wazimu wanataka watanzania wapige kila mtu.Kile kipigo kilikuwa specifically dedicated to M23.Hatuna ugomvi na Kabila.

Story kwa ufupi inasema Kabila ni pandikizi wa Kagame. Hivo sioni mantiki ya M23 ambao wanatuhumiwa kupata ufadhili wa Kagame na Musevini kutoa tarifaa hii. Sana nihusishe hii taarifa na wapinzani wa Kabila "wazawa" wa Congo. Very confusing.

Hakuna cha wazawa hapo ni kilio tu cha kitoto kuwa kama umenipiga mimi M23 mpige na Kabila pia na yeye yuko kama mimi.Kilio cha aina hicho ni cha watoto.Viboko vilikuwa maalum kwa toto jeuri tundu M23.