Nilikuwa najaribu tuu naomba mwongozo wa kutosha kwenye hii
ymollel cheif-mkwawa
kcamp
Nimejaribu kwenye simu yangu samsung s3 imefanya kazi... Bt nimetumia free server... Not premium...
Nimepata 150MB
Bt swali langu linakuja... Nimejaribu kuchange line kuweka line isiyo na bundle wala vocha... Imegoma kabisaaa..! Je these stuff still working or?