zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Nimepigiwa simu muda huu kuwa,kuna mtu alitaka kudandia tren stand ya kamata kariakoo,
Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma.
Walio karibu watujuze
Nimepigiwa simu muda huu kuwa,kuna mtu alitaka kudandia tren stand ya kamata kariakoo,
Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma.
Walio karibu watujuze
Mkuu zubedayo_mchuzi hujasomeka vizuri!Nimepigiwa simu muda huu kuwa,kuna mtu alitaka kudandia tren stand ya kamata kariakoo,
Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma.
Walio karibu watujuze
Kwa mujibu wa mleta habari mimi naona treni ndio imejeruhiwa hapo. Pole zangu za dhati ziifikie treni na naitakia afya njema.
Mkuu zubedayo_mchuzi hujasomeka vizuri!
Mzee Kama unajua Yale ni machuma ulienda kudandia ya nn?Kijana acha utani...machuma yale.