Hussein Massanza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,016 Reaction score 2,195 Jun 4, 2017 #1 Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa baada ya tela la trekta kupinduka karibu na Kijiji cha Terrat kilichopo mkoani Manyara. Mkuu wa Wilaya, Ndugu Zephania Chaula amethibitisha. Taarifa zaidi zaja..
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa baada ya tela la trekta kupinduka karibu na Kijiji cha Terrat kilichopo mkoani Manyara. Mkuu wa Wilaya, Ndugu Zephania Chaula amethibitisha. Taarifa zaidi zaja..
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Jun 4, 2017 #2 Terrat - Simanjiro, R.I.P
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,013 Reaction score 56,084 Jun 4, 2017 #4 Rip, waliojeruhiwa walikua wamepakizwa kwenye hilo tela?