Hongereni majirani kwa kujikwamua kwenye miundo mbinu..ila sasa hii A2 uhuru highway mbona wameacha wazi in such a way kwamba watu wanakatiza highway sehemu ambayo si ya kivuko cha waenda kwa miguu?ama mi ndo sielewi vizuri haya makitu mkuu

Hehe..you have a keen eye. There are zebra crossing. But at times people cross in areas of their convinience where at times there are no zebra crossings.