wewe unatia huruma sana....eti wanavyojidai? kwani wewe huna macho kuona projects on the ground? yaani baada ya kupitia huu uzi wote kurasa 22 hii picha yako ndio conclusion yako? hii group yenyu ya ****** inatia aibu sana, tafathali wacha kuwapa waTZ a bad name, wale ambao nawajua na kuwafahamu ni watu wastaarabu sana.