hahahhaa, kumbe inabidi
aanddike kiswahili asee, transcriber ni mtu anayebadili sauti kuzipeleka
kuwa maandishi. unasikiliza kilicho kwenye audio file wakati huo
unachapa ziwe text. naona mkuu
KATASAN'KAZA
unasema watu lazima wawe dar, nina vijana huwa wanafanya hizo kazi
lakini hawako dar, kama una kazi kubwa na unahitaji huduma unaweza
kuniinbox.