Trans Mathius Network

mathiusxvi

New Member
Joined
May 8, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Tunawashuru wote waliojitokeza kwenye usail wa kaz ya udereva uliyotolewa na kampun yetu na tuna washauri waiokosa nafasi waskate tamaa kwa mwez wa pil kampun imeagiza magari mapya ya mizigo hvyo basi tunaomba muwe makini kufuatilia taarifa zetu kila tunapotoa tangazo
Tunawaomba radhi kwa usumbufu
KWA MAONI,USHAURI TUMA SMS AU PIGA
0652121219
Email;mathiusxvi@yahoo.com
 
asante sana mkuu ila hata sijui mliita lini hizo nafasi ktk usaili mana kuna rafiki yangu alitumaga hadi akasahau kama alituma maombi
 
Ahsante kwa ushirikiano mzuri ulioonesha,Mungu akubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…