Mchakachuaji,wewe gharama yako ni sms tu.Ni kwamba unawasiliana na hicho chombo TRAMIGO T22 kwa kutuma comands kupitia sms na chombo kitakujibu kwa sms.Tramigo ina wasiliana na wewe kupitia Gsm,hivyo kunakuwa na sim card ndani yake.
Ndiyo maana hakuna kodi ya mwezi.Kampuni nyingine hawatumii Gsm,ndiyo maana wanakuchaji kwa mwezi kwa huduma zao za kutumia mtandao.