Na utafanyaje na yeye keshaona mteremkoza pasaka
Huyo trafik kakusoma na kagundua wewe ni mteremko,anyway baba wa hao wanao yuko wapi siku hizi mpaka ushobokee watu "trafik" usiowapenda kwa mujibu wa maandiko yako?Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...
Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols
natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]
cc NAHUJA
Mbiti wewe ni mjane?kafwa!hii ni chitchat punguza jazba
hahahahaaha, force number yake please, hahahahaahahah! Nimecheka hiyo hashitagi yako kwenye uzi eti "Akili za Pasaka" hahahahaahahhahah. Yaelekea anavutia sana huyo kaka. Nahisi atakuwa ni mrefu mweusi kidogo, hana kitambi, "hensamu hensamu"hahaaaaa ni mkaka!naanzaje kufungua uzi kisa mdada!shit are real !mxewww
hahaaa mweusi shoo!yeah hensam !lolhahahahaaha, force number yake please, hahahahaahahah! Nimecheka hiyo hashitagi yako kwenye uzi eti "Akili za Pasaka" hahahahaahahhahah. Yaelekea anavutia sana huyo kaka. Nahisi atakuwa ni mrefu mweusi kidogo, hana kitambi, "hensamu hensamu"