The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,107
- 21,965
Ni wewe kk sio woteHii kitu niliisoma kwenye kitabu cha currency trading for dummies nikaona kama betting tu🤔
Wapi nimesema ni wote?Ni wewe kk sio wote
Boss kwa umri wako, sio kila kitu mpaka uone, mengine tafsiri kwa ufahamu wa kawaida. Kwani hukusoma mambo ya 'hali ya mwandishi ' (tone of the writer/ poet)Wapi nimesema ni wote?
Umesema ni wewe kaka sio kwa wote , wapi kwenye post yangu nimesema ni kwa wote?Boss kwa umri wako, sio kila kitu mpaka uone, mengine tafsiri kwa ufahamu wa kawaida. Kwani hukusoma mambo ya 'hali ya mwandishi ' (tone of the writer/ poet)
Hapana siyo betting it is a very high skilled business psychology is powerHii kitu niliisoma kwenye kitabu cha currency trading for dummies nikaona kama betting tu🤔
Huenda wahuni wa dunia wameamua kushusha chini makusudi. Maana ilikuwa inaenda high all the timeAu tayari Dhahabu ya serikali imeshaingizwa sokoninkwa wingi na soko likashuka?
Ila hiyo naona bila mtaji mkubwa hutoboiHapana siyo betting it is a very high skilled business psychology is power