shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,325
mimi account number ya carview corporation nayofaham ni hii hapa 0145398 bank of tokyomitsubish ufj kuwa makini sana na hii mitandao manake na watu wabaya wapo wengi tu kwa msaada zaidi namba yangu ya sim ni 0683853767Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account details zifuatazo
CAR PARK SANKO LTD.
Please note that tradecarview cannot accept money transfer within Japan unless you register the vehicle in Japan after you purchase.
YOUR SIGNATURE.
WATAALAMU WA KUAGIZA MAGARI NISAIDIENI MAWAZO, MAANA KESHO NIMEPANGA NIKAFANYE TT (WIRE TRANSFER)...VIPI HUYU SUPPLIER ( CAR PARK SANKO LTD) NI WA UHAKIKA AU MSANIII KWA MNAOMFAHAMU ?
mimi account number ya carview corporation nayofaham ni hii hapa 0145398 bank of tokyomitsubish ufj kuwa makini sana na hii mitandao manake na watu wabaya wapo wengi tu kwa msaada zaidi namba yangu ya sim ni 0683853767
hivi hayo makampuni hayana wakara hapa bongo?
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account details zifuatazo