Trade Car View Invoice, hii account nilipe au natapeliwa

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,916
2,323
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account details zifuatazo

CAR PARK SANKO LTD.

Please note that tradecarview cannot accept money transfer within Japan unless you register the vehicle in Japan after you purchase.
YOUR SIGNATURE.

WATAALAMU WA KUAGIZA MAGARI NISAIDIENI MAWAZO, MAANA KESHO NIMEPANGA NIKAFANYE TT (WIRE TRANSFER)...VIPI HUYU SUPPLIER ( CAR PARK SANKO LTD) NI WA UHAKIKA AU MSANIII KWA MNAOMFAHAMU ?
 
Umetumia njia gani kuwasiliana naye? Je ni kupitia account yako ya tradecarview au normal personal emails?
 
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account details zifuatazo

CAR PARK SANKO LTD.

Please note that tradecarview cannot accept money transfer within Japan unless you register the vehicle in Japan after you purchase.
YOUR SIGNATURE.

WATAALAMU WA KUAGIZA MAGARI NISAIDIENI MAWAZO, MAANA KESHO NIMEPANGA NIKAFANYE TT (WIRE TRANSFER)...VIPI HUYU SUPPLIER ( CAR PARK SANKO LTD) NI WA UHAKIKA AU MSANIII KWA MNAOMFAHAMU ?
mimi account number ya carview corporation nayofaham ni hii hapa 0145398 bank of tokyomitsubish ufj kuwa makini sana na hii mitandao manake na watu wabaya wapo wengi tu kwa msaada zaidi namba yangu ya sim ni 0683853767
 
Nakwambia achana na TradeCarView kwa sababu japo wana money security "pay trade" lakini garama ziko juu.
Mambo ni BEFORWARD.JP
 
mimi account number ya carview corporation nayofaham ni hii hapa 0145398 bank of tokyomitsubish ufj kuwa makini sana na hii mitandao manake na watu wabaya wapo wengi tu kwa msaada zaidi namba yangu ya sim ni 0683853767

Hujamuelewa Mdau hapo Juu.

Inavyoelekea amempata supplier kupitia tradecarview but amechukua option ya kukwepa "paytrade" hivyo anamlipa supplier direct kwenye account ya supplier.

Binafsi ningependa kumfahamisha tu kama kampata kupitia tradecarview basi ni bora achukue option ya "paytrade" ingawa itaongeza cost.

Otherwise kuna makampuni ya kuyaamini kwenda nao moja kwa moja bila extra cost kama za "paytrade" ambayo ni AUTOREC, BEFORARD, SBT, ROYAL TRADING, NEXTAGES, e.t.c
 
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account details zifuatazo

CAR PARK SANKO LTD.

Please note that tradecarview cannot accept money transfer within Japan unless you register the vehicle in Japan after you purchase.
YOUR SIGNATURE.

WATAALAMU WA KUAGIZA MAGARI NISAIDIENI MAWAZO, MAANA KESHO NIMEPANGA NIKAFANYE TT (WIRE TRANSFER)...VIPI HUYU SUPPLIER ( CAR PARK SANKO LTD) NI WA UHAKIKA AU MSANIII KWA MNAOMFAHAMU ?

Kama invoice umepewa na muuzaji moja kwa moja usithubutu kumtumia hiyo hela. Kwa kawaida unatakiwa kuwasiliana na muuzaji kupitia mtandao wa Tradecarview na sio muuzaji moja kwa moja. Mkikubaliana bei na mambo mengine unashauriwa kutumia mfumo wa "Paytrade" ambapo Tradecarview ndio wanakupatia invoice na sio muuzaji. Faida ya mfumo huu ingawa una gharama kidogo za ziada ni kuwa unatuma hela kwenye akaunti ya Tradecarview na wao wataishikilia hiyo hela mpaka muuzaji amepakia gari kwenye Meli na kukutumia wewe documents ndipo atapewa hela yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom