H hassara Member Joined Jan 27, 2016 Posts 47 Reaction score 3 Mar 22, 2016 #1 TRACTOR ZINAUZWA tractor zinauzwa zipo katika hali nzuri karibuni MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5 tsh FORD 4000 bei ni milion 17.5 tsh. zipo Mbweni, Daresalaam mawasiliano zaidi 0714242879
TRACTOR ZINAUZWA tractor zinauzwa zipo katika hali nzuri karibuni MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5 tsh FORD 4000 bei ni milion 17.5 tsh. zipo Mbweni, Daresalaam mawasiliano zaidi 0714242879
C cumins JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 975 Reaction score 442 Oct 10, 2016 #2 Horse power ngapi? 4wd or 2
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 10, 2016 #3 Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu?
jose mjasiriamali JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,770 Reaction score 1,603 Oct 10, 2016 #4 Wonderful said: Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu? Click to expand... mkuu we upo nchi gani?
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,722 Reaction score 6,593 Oct 10, 2016 #5 Wonderful said: Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu? Click to expand... Kutengeneza barabara!!
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,996 Reaction score 46,721 Oct 10, 2016 #6 Jephta2003 said: Kutengeneza barabara!! Click to expand... ahahahhah
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Oct 10, 2016 #7 Bado ziko poa. Hizi 'gari' ni za mwaka sabini na ngapi?
ozil 10 Member Joined Oct 2, 2016 Posts 85 Reaction score 53 Oct 10, 2016 #9 Kodofan said: Bado ziko poa. Hizi 'gari' ni za mwaka sabini na ngapi? Click to expand... We nunua tu mwaka utaujua ukilipa cash
Kodofan said: Bado ziko poa. Hizi 'gari' ni za mwaka sabini na ngapi? Click to expand... We nunua tu mwaka utaujua ukilipa cash
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 10, 2016 #10 jose mjasiriamali said: mkuu we upo nchi gani? Click to expand... Nipo humu humu tu mkuu!
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 10, 2016 #11 Jephta2003 said: Kutengeneza barabara!! Click to expand... Ata mm nilijua ni hivyo hivyo tu basi.🙂
kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Oct 12, 2016 #12 Wonderful said: Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu? Click to expand... Kweli this is wonderful
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,223 Reaction score 39,928 Oct 12, 2016 #13 Wonderful said: Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu? Click to expand... Kulima, kupanda, palizi, kupukuchua mahindi, pia kubeba mizigo inategemea umefunga chombo gani twende kazi! Hata ukifunga pampu inaendesha
Wonderful said: Sorry, hivi kazi yake ni nini hizo kitu? Click to expand... Kulima, kupanda, palizi, kupukuchua mahindi, pia kubeba mizigo inategemea umefunga chombo gani twende kazi! Hata ukifunga pampu inaendesha