Tractor new holland hp 75 inauzwa

kanjo

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
10
Reaction score
5
Ipo mbeya wilaya ya mbarali, inauzwa na jembe lake 25m.Ipo katika Hali nzuri.
Mawasiliano. 0765853672
 
Naona watu wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Yaani hawana mambo mengi. Ni kupiga tu simu kwa mhusika, na kuangalia namna ya kumaliza biashara.
 
New Holland n trekta nzuri sana ukiipenda mtafute fundi aipeleleze na uone utaanzaje kutumia
 
Wale wadau wa trekta kuna wasap group tukutane tusaidiane ushauri na utatuzi wa haya mambo nicheki 0653 639214
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…