N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 20, 2014 #1 Kama inavyoonekana kwenye picha kwa mawasiliano zaidi ni pm na kwa aliye serious bei yake ni nzuri Attachments ford 5000-5.jpg 65.2 KB · Views: 216 FORD 5000-6.jpg 57.8 KB · Views: 193 FORD 5000-7.jpg 60.3 KB · Views: 180
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Dec 20, 2014 #2 Nantes said: Kama inavyoonekana kwenye picha kwa mawasiliano zaidi ni pm na kwa aliye serious bei yake ni nzuri Click to expand... Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru?
Nantes said: Kama inavyoonekana kwenye picha kwa mawasiliano zaidi ni pm na kwa aliye serious bei yake ni nzuri Click to expand... Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru?
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 20, 2014 Thread starter #3 yutong said: Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru? Click to expand... ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako
yutong said: Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru? Click to expand... ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Dec 20, 2014 #4 Nantes said: ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako Click to expand... Hahaha, unapouza kitu lazima uandike status yake ama condition yake kama ni mpya ama imetumika. Unapopost kitu hapa si kila mtu atakielewa. We ungetoa details zaidi iko wapi na ni bei gani na kama nikitaka kununua taratibu zikoje na kadharika
Nantes said: ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako Click to expand... Hahaha, unapouza kitu lazima uandike status yake ama condition yake kama ni mpya ama imetumika. Unapopost kitu hapa si kila mtu atakielewa. We ungetoa details zaidi iko wapi na ni bei gani na kama nikitaka kununua taratibu zikoje na kadharika
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 22, 2014 Thread starter #5 Nimeshakujibu mkuu