Kama kuna mwenye habari ya ndani kuhusu hawa watu wanaita lini atujuze make nina bwana mdogo kafanya oral ile tarehe 08/02/2013 lakn halali make anataka kujua mustakabali wake ili afanye mambo mengne. Anasema hana hamu ya kufanya chochote mpaka apate results ndo atulie, kama kapata poa na kama kakosa sawa tu. Ametoka mbali kijijin kuja interview kaacha vishughul vyote, kwa hyo anaona anaweza kuondoka mjin akaitwa na nauli inaleta kamgogoro.