bado hawajaita na itachukua muda kiaina kwa sababu pamoja na mambo mengine kuna malalamiko yametoka TAKUKURU yamefikishwa kwa katibu mkuu kiongozi bwana Ombeni. Inaonekana wengi waliokuwa shotlisted ni watumishi wa TAKUKURU hivyo bwana mkubwa Hosea analia kuwa TRA wanamchukulia watumishi wakati kashawapa training, wengine kawasomesha n.k..... But all in all tuvuteni subira hope by january kila kitu kitakuwa wazi comrades