Hawa watu wanajua kabisa kwamba mfumo wao wa mawasiliano ya EFD machines na database yao hauko stable tangia alhamisi ila wamemwaga wakaguzi mitaani kukamata wale waliokuwa hawajatuma report ya siku{maarufu Z report},na wakija wanataka kukuandikia kosa badala ya kukupa elimu kwamba ikitokea hivyo andika barua uwapelekee wao hivyo hawataki wanataka kwanza ulipe fine ndo mengine yaendelee.swali langu,kwanini shida kama hii ikitokea wasitutangazie kama wanavyotutangazia kulipa kodi kwa kuzunguka na magari yao mitaani?au hata kutoa matangazo kupitia TV na radio?hii sio poa.
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app