Tra, ewura, nssf tanesco

Mwanasazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
242
Reaction score
71
Wana jamvi naombeni mnijuze kuhusu mishahara ya hiz agent za serikali inafanana au inazidiana na agent ipi zinalipa vizuri zaidi.
 
hata ukijua rate zao ndiyo utapata kazi bila kufata procedures
 
Inategeme unaingia nafasi gani ila kwa araka araka nssf wapo juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…