Kuna maandishi yanapita pale chini Azam sport 2 "Kocha msaidizi Simba Masoud Juma akalia kuti kavu Simba".
Wasije wakatuharibia tu timu yetu,inaonekana washapanga kumfukuza Masoud
Haya bhana! labda ulikuwa mdogo miaka ile wakati kina Thomas Kipese, saidi mwamba, steven names, yusuph macho wakitoka yanga na kuja kuwasaidia simba ktk vipindi tofauti!
Mbona Ajibu ni fundi kuliko hata kichuya wenu anayeanza kikosi cha kwanza thimba, mpaka msemaji wenu manara anashangaa kwanini Ajibu haitwi timu ya taifa ?