Hivi nyie mbumbumbu kwa nini mmeua kipaji cha Haruna? Kila le heri African Lyon, nyie ni simba wa Afrika hamuwezi mshindwa simba wa bunju!Leo mafundi wa mpira kuwahi kushudiwa katika miaka ya hivi karibuni, Juuko Murshid na Haruna Niyonzima wamerejea katika kikosi cha Mnyama mkali mwituni, Simba SC.
Wanaanzia katika kikosi cha akiba.
Mkuu leo tunaua ndege 3 kwa jiwe 1Point 3 tu ndio muhimu kwetu Simba.
kila la kheri
Gyan licha ya kumudu nafasi ya beki lakini ni Striker yule.Naunga mkono hoja kwamba bwana Emanuel Okwi angempusha ili nae ajaribu bahati yake mana Mechi iliyopita alizingua sana.Kichuya amedrop sana kiwango.Maybe Kuleewa sifa,Starehe au Upepo kama wa mshambuliaji mmisri Mo Salah.Kila laheri chama langu Simba likiongozwa na Chama kwenye kiungoKichuya kuanzia benchi ni sawasawa kabisa.
Okwi pia angeanzia benchi.
Leo ilikuwa zamu ya akina, Niyonzima, Juuko, Salamba, Gyan, kuanza.
Hivi nyie mbumbumbu kwa nini mmeua kipaji cha Haruna? Kila le heri African Lyon, nyie ni simba wa Afrika hamuwezi mshindwa simba wa bunju!
Wamesema wanamfukuzaKuna maandishi yanapita pale chini Azam sport 2 "Kocha msaidizi Simba Masoud Juma akalia kuti kavu Simba".
Wasije wakatuharibia tu timu yetu,inaonekana washapanga kumfukuza Masoud
Wasije wakasababisha magroup kwa wachezaji simba tunahitaji kutetea ubingwa lwa udi na uvumbaWamesema wanamfukuza