Gari imeendeshwa na Mama wa Kihindi tangu ilipoingia nchini, na ilikua ikitoka Magomeni kwenda Kariakoo tu. Alizingatia service, Mi nimeinunua kwake mwezi mmoja uliopita
Gari imeendeshwa na Mama wa Kihindi tangu ilipoingia nchini, na ilikua ikitoka Magomeni kwenda Kariakoo tu. Alizingatia service, Mi nimeinunua kwake mwezi mmoja uliopita
Kwenye Biashara ya gari nikisikia neno...dada, mama, mwanamke basi nami huongeza jicho la tatu. ila gari mwonekano wake ni mzuri tu, Kama service zote ilipata je documents (BL) toka ilipoingizwa inchini pamoja na kadi yake ipo?