Vitz inauzwa,ipo Ifakara.Ina issue ya engine,engine iliyopo inasumbua sumbua inahitaji matengenezo au mswaki(Msema kweli kipenzi cha Mungu.Biashara za kuambiana uongo zimepitwa na wakati)
Bei maelewano.
Kwa aliye interested anicheck inbox.