Mkuu hiyo siyo Daihatsu kweli? Maana hujaweka front view ili kufanya uamuzi sahihi. Nipe details zaidi kama milage, accident and maintenance records, etc. tunaweza kuongea.
Daihatsu hiyo zoom hiyo picha ya sterling halafu namba B itakua mpya kweli au janga?
Mkuu hiyo siyo Daihatsu kweli? Maana hujaweka front view ili kufanya uamuzi sahihi. Nipe details zaidi kama milage, accident and maintenance records, etc. tunaweza kuongea.[/QUO
inaitwa daihatsu terios. nafkiri ni terrios kid ndio zina cc 650
siuzi tena nimeghairi.....
Ishauzwa leo guys nashukuru kwa ushirikiano wenu!!