Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
Naona broh! Umeamua kuchomoa betri!Mkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
Kama uko serious na biashara njoo PM tuongee biasharaMkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
😂 😂 😂 😂 😂Naona broh! Umeamua kuchomoa betri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo ile siku nakuletea gari ulikuwa unanichora tu kwanini hukunambia palepale kuwa sjui kuongea na watejaMkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
HahahahahahaNaona broh! Umeamua kuchomoa betri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kamabado ipo 3M ipo chap hapaToyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
Mkuu bado unayo hyo stallet?
Bado ipo kamanda Laki tatu chap!Mkuu bado unayo hyo stallet?
Mkuu ni PM namba yako tuyajenge chapBado ipo kamanda Laki tatu chap!