Toyota Spacio inauzwa

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Toyota Spacio ya mwaka 2002 inauzwa
Iko Iringa! Kilometer 14500. Bei Tsh Ml. 6.
Iko katika hali nzuri! bei inaweza kushushwa.
More info. Call 0713 560 587
Samahani picha imeshindwa kuapload kutokana na tatizo la mtandao! Unaweza kutumiwa kwa Whattsapp.
 
Attachments

  • IMG_20150213_131813.jpg
    461.5 KB · Views: 701
hiyo model kuna gari ya 2012 kweli?
 
Hata Km 2500 ni ngumu kuamini.

Sioni tatizo kwenye KM ilizotembea. kuna magari used mengi tu ambayo odometer inasoma chini ya km 2500. Ila siamini kama hiyo gari imetengenezwa mwaka juzi yaan 2012. Mbona spacio new model zenyewe zina zaidi ya miaka kumi tangu zianze kutengenezwa. Itakuwaje hiyo old model iwe ya 2012? anyway endelea kutafuta wateja
 
Sioni tatizo kwenye KM ilizotembea. kuna magari used mengi tu ambayo odometer inasoma chini ya km 2500.
Kwa muonekano huo na kwa mazingira ya bongo si kweli na kumbuka gari imetoka dsm kwenda Iringa hiyo
Ila siamini kama hiyo gari imetengenezwa mwaka juzi yaan 2012. Mbona spacio new model zenyewe zina zaidi ya miaka kumi tangu zianze kutengenezwa. Itakuwaje hiyo old model iwe ya 2012? anyway endelea kutafuta wateja
Huyu muuzaji inawezekana dalali maana hata ya 2002 siyo hiyo
 
Attachments

  • 1425637796979.jpg
    4.8 KB · Views: 541

mkuu shtuka gari imenunuliwa nje ikiwa used..kisha ikaja bongo imetembea haijatembea! labda imepelekwa iringa kwa contena
duuuuuhh hta kumwibia mjinga kwa style hii atagundua
hapa na iringa kuna km ngapi......
 
ya mwaka 2012? km 2500, bei mil 6 hahah changa la macho hapo
 
mkuu shtuka gari imenunuliwa nje ikiwa used..kisha ikaja bongo imetembea haijatembea! labda imepelekwa iringa kwa contena
duuuuuhh hta kumwibia mjinga kwa style hii atagundua
hapa na iringa kuna km ngapi......

Dar-iringa ni km 501
 
tatizo sio KM. Tatizo, muundo wa gari na mwaka ilipotengenezwa haviendani. huwez kuniaminisha eti hiyo gari ya 2012. Hakuna kitu kama hicho hapa duniani. Labda huo mwaka uwe ni wa kugushi
 
I wrote made 2012 badala ya 2002 oh shit, samahani wakuu ilipaswa kuandika 2002 badala ya hiyo figure! Moods samahani kwa hilo!
 
I wrote made 2012 badala ya 2002 oh shit, samahani wakuu ilipaswa kuandika 2002 badala ya hiyo figure! Moods samahani kwa hilo!

tumekuelewa je swala la km nazo je umekosea au?na pia bei nayo umekosea au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…