Android 00 JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 774 Reaction score 226 Dec 24, 2013 #1 Toyota spacio inauzwa, iko kwenye hali nzuri imetumika km 76400 Sports Rim Fully ac Sh. 9,500,000/
Kichumi JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 588 Reaction score 516 Dec 24, 2013 #2 Mkuu weka picha, model na ni ya mwaka gani. Usijekuta unataka kuuza chuma chakavu
dadysean Member Joined Dec 22, 2013 Posts 94 Reaction score 20 Dec 27, 2013 #3 Uledi said: Mkuu weka picha, model na ni ya mwaka gani. Usijekuta unataka kuuza chuma chakavu Click to expand... 2002 mkuu kishasema
Uledi said: Mkuu weka picha, model na ni ya mwaka gani. Usijekuta unataka kuuza chuma chakavu Click to expand... 2002 mkuu kishasema
K kashaato Member Joined Dec 26, 2013 Posts 76 Reaction score 4 Dec 28, 2013 #4 Hiyo bei siya spacio mpya kabisa showroom za kinondon
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,423 Dec 28, 2013 #5 dadysean said: 2002 mkuu kishasema Click to expand... Sawa lkn ni new model au old model