Mkuu una tukari tuzuri sana kwa bei nzr sana, nimewazaaaaaa nikauliza kamati yangu ya ubongo kuwa kati ya haka ka gari na kiwanja uelekeo uende wapi kamati imekuja na maamuzi kuwa plot ianze kwanza.
Mkuu una tukari tuzuri sana kwa bei nzr sana, nimewazaaaaaa nikauliza kamati yangu ya ubongo kuwa kati ya haka ka gari na kiwanja uelekeo uende wapi kamati imekuja na maamuzi kuwa plot ianze kwanza.
Aisee kama vipi ungerekebisha kidogo kwenye maelezo ya hii gari hapo juu. Gea box yake inaonekana ni automatic! Tena ikiwa kwenya P! Na siyo manual transimission.
Ni ushauri tu lakini. Unaweza kuupokea, au kuukataa. Mwisho kabisa ujitahidi pia kututafutia gari nyingi za manual transmission. Wadau wa hizo gari bado tupo.