figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,047 Reaction score 64,168 Oct 28, 2016 #1 Iko katika hali nzuri kabisa inatembea na haina tatizo lolote. Imeshatembea Km 74600. Gari ni namba ni CGX. Bei yake ni mil 14. Gari ipo Dar es Salaam. Kwa mawasiliano niandikie meseji hapa JamiiForums (PM). Karibuni
Iko katika hali nzuri kabisa inatembea na haina tatizo lolote. Imeshatembea Km 74600. Gari ni namba ni CGX. Bei yake ni mil 14. Gari ipo Dar es Salaam. Kwa mawasiliano niandikie meseji hapa JamiiForums (PM). Karibuni