Ni-pm bei yake mkuu, nimeipenda.
Mkuu Nigga mbona unampangia bei ngoja aje mwenyewe tuone bhana..I thought 11.5M ndio bei,au kuna bei za pm?
Mkuu Nigga mbona unampangie bei ngoja aje mwenyewe tuone bhana..
Usihofu mdau tupo pamoja.Sorry mkuu nilisahau kama niko bongo (bargaining)
Kaka hiyo ndio bei 11,500,000 Tshs Karibu sana...
Kaka hiyo ndio bei 11,500,000 Tshs Karibu sana...
Nahitaji Vitz ntapata kwa Sh ngapi?Ndio Biashara yangu mkuu kuagiza na kuuza magari. i know where your going...let see
Kaka najua dola imepanda bei lakini bajeti yangu 6-6.5Mutapata mkuu kwa 7.5M ya 2002-2003 model
Not True boss. unaweza kunisaidia hesabu zako hapa ili nione...na mimi ntaweka zangu...
action speak louder???
Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc | ||
Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io) | ||
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION | ||
Current Retail Selling Price | 22,000 | |
Depreciation | 70% | |
Freight | ||
Customs value | 3,409 | |
FOB Value | 3,409 | |
Import Duty 25% | 852 | |
Excise Base | 4,262 | |
Excise Duty 5% | 213 | |
VAT Base | 4,475 | |
VAT 18% | 805 | |
Total Taxes | 1,871 | |
Total Taxes in TSHs | 2,993,278 | |