Toyota raum for sale

Mbona rims zake chai maarage?mbona za mbele ni tofauti na za nyuma?
 
picha ya mbele na nyuma hujapga full manaake nin?
Ushanboa. ngoja nile lak 5 ili ibak m 5.5 af ntarud
Ulitaka uone plate number??
Huwa hatuwekagi maana ukiiona mtaani utaanza kuifananisha, ngoja ajibu mwenyewe!!
 
Kuna maswali ya muhimu sana: japo kwa kifupi tueleze kwa nini unaiuza? Imewahi kupata tatizo lolote (ajali kugongwa n.k)
Nauza ili nipate hela....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…