Bosi samahan lakini hivi unaijua bei ya kuiagiza hyo gari mpaka iwe mkononi ni pesa ngap sina maana bei yako kubwa lakini nahilo ya paswa kulijua kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Abu Kautha umeua biashara ya mwenzio aliyesema namba DL ni mpya kabisa!!!heeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina 10M mkuu! Tufanye biasharaHapana, nimempa option huyu bwana analalamika
Nina 10M mkuu! Tufanye biashara
Nina 10M mkuu! Tufanye biashara
Hilo na mimi pia lilikuwa swali langu,hii ni Premio new model?Unaijua Premio new model wewe?
Jamani muwe mnaangalia na kipindi chenyewe hiki.
Hiyo gari kiroho safi ilitakiwa muanzie mil.9
Madalali mbona hamuelewi lkn.
Hiki ni kipindi cha mpito jamani eleweni basi.
Nina mil 9 cash mfukoni hapa hiyo DPR
Allah kariim
Watu tamaa zinawazidi aisee hawaoni hata hali ya upepo na haya ma corona! Unauzaje gari uliyotumia bwa bei hiyo?hata kama ndio ya kuanzia ni too much. Sa si bora kuagiza tuAbu Kautha umeua biashara ya mwenzio aliyesema namba DL ni mpya kabisa!!!heeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
😅Unaijua Premio new model wewe?
GoodJamani muwe mnaangalia na kipindi chenyewe hiki.
Hiyo gari kiroho safi ilitakiwa muanzie mil.9
Madalali mbona hamuelewi lkn.
Hiki ni kipindi cha mpito jamani eleweni basi.
Nina mil 9 cash mfukoni hapa hiyo DPR
Allah kariim