Mkuu tangazo mbona halijakamilika hata kama kuweka picha imekuwa shida japo wasifu basi wa hilo gari mfano:-
1. Toyota Prado
2. Cc
3. Inatumia mafuta gani(Diesel/Gasoline)
4. Stering ipo kulia/kushoto
5. Ina nini ndani music,air n.k
6. Bei yake
7. Mwaka wa matengenezo hiyo gari
Angalau bila picha mtu anaweza kwa kiasi kikubwa kuelewa unachotaka kuuza.
Picha huwa idadi kubwa zinatushinda kuweka ila fafanua kama nawe ulivyoinunua kule Japan.