Toyota Noah inahitajika haraka sana

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Mwenye kuuza toyota noah ani pm,budget 3.5 mil. Watsap only,0658542409.Karibuni
 
Passo za kina mama mimi sitaki!
pole sana. wakina mama sikuiz nawao wameamka sana hata hiyo noah unayotaka wanaona takataka😅😅. wanasukuma ALPHARD,PRADO TX, HARRIER, Ehe XTRIAL vitu kama VAGUARD.
 
pole sana. wakina mama sikuiz nawao wameamka sana hata hiyo noah unayotaka wanaona takataka[emoji28][emoji28]. wanasukuma ALPHARD,PRADO TX, HARRIER, Ehe XTRIAL vitu kama VAGUARD.
Wacha we! Ila ni aibu mwanaume ku drive passo,vitz au izo ist
 
Wacha we! Ila ni aibu mwanaume ku drive passo,vitz au izo ist
Ni kwel mm mwenyewe najiuliza hizi pesa wakina mama wanatoa wapi kwa uchum huu. Sasa kwa mwanaume kuendesha pasoo afadhali utembee uchi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…