Nitaftie fusso tone 4 Nina 25 millionIko vizuri mkuu .....
Ova
Hahaha mkuu udalali Uko kila sehemu....na usiogope udalali kikubwa ni mteja kutoka eneo la tukio na kuona bidhaa akiridhika tunamaliza..Huyu mrangi ni dalali kwahiyo anaweka cha juu, kama huamini pitia post zake za nyuma utaona