maselengo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 325 Reaction score 167 Jul 6, 2016 #1 Natafuta GARI aina ya Toyota hillux single cabin 2 wheel drive petrol ambayo IPO katika Hali nzuri ya milioni nane mpaka kumi
Natafuta GARI aina ya Toyota hillux single cabin 2 wheel drive petrol ambayo IPO katika Hali nzuri ya milioni nane mpaka kumi
concordile 101 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 6,991 Reaction score 15,436 Jul 6, 2016 #2 Duuuh sawa ila zidisha mara mbili na nusu
maselengo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 325 Reaction score 167 Jul 6, 2016 Thread starter #3 concordile 101 said: Duuuh sawa ila zidisha mara mbili na nusu Click to expand... Hiyo bei sipati?
kinguo JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 440 Reaction score 319 Jul 6, 2016 #4 Ipo ya milioni kumi na tano. Shida yake turbo ila kuna fundi kashauri itolewe silinder head ya turbo iwekwe ya kawaida. Eng 2L.
Ipo ya milioni kumi na tano. Shida yake turbo ila kuna fundi kashauri itolewe silinder head ya turbo iwekwe ya kawaida. Eng 2L.
kinguo JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 440 Reaction score 319 Jul 6, 2016 #5 Sory inaanzia kumi na nane mwisho hapo kumi na tano. Ukihitaji nipm. Tuzungumze biashara
maselengo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 325 Reaction score 167 Jul 6, 2016 Thread starter #6 Hiyo Ni diesel engine inahitajika petrol engine
Paddy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 483 Reaction score 359 Jul 6, 2016 #7 kinguo said: Ipo ya milioni kumi na tano. Shida yake turbo ila kuna fundi kashauri itolewe silinder head ya turbo iwekwe ya kawaida. Eng 2L. Click to expand... Weka picha, ni ya mwaka gani?
kinguo said: Ipo ya milioni kumi na tano. Shida yake turbo ila kuna fundi kashauri itolewe silinder head ya turbo iwekwe ya kawaida. Eng 2L. Click to expand... Weka picha, ni ya mwaka gani?
concordile 101 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 6,991 Reaction score 15,436 Jul 6, 2016 #8 maselengo said: Hiyo bei sipati? Click to expand... Utapata ila gharama ya matengenezo itakuwa kubwa hizi gar ziko juu sana
maselengo said: Hiyo bei sipati? Click to expand... Utapata ila gharama ya matengenezo itakuwa kubwa hizi gar ziko juu sana
kinguo JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 440 Reaction score 319 Jul 10, 2016 #9 Paddy said: Weka picha, ni ya mwaka gani? Click to expand... Namna ya kuweka picha huwa sijui. Ila ni ya mwaka 1999.
Paddy said: Weka picha, ni ya mwaka gani? Click to expand... Namna ya kuweka picha huwa sijui. Ila ni ya mwaka 1999.